Wasamaria wakisaidia kulinasua gari la polisi baada ya kutumbukia katika mtaro uliofunikwa kwa maji ya mvua - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Wasamaria wakisaidia kulinasua gari la polisi baada ya kutumbukia katika mtaro uliofunikwa kwa maji ya mvua

Wasamaria wakisaidia kulinasua gari la polisi lenye namba PT 1448,  Dar es Salaam jana, lililotumbukia katika mtaro uliofunikwa kwa maji ya mvua zilizoendelea kunyesha jijini, kamaabara ya Msimbazi eneo la KAMATA. Elimu ya Ulinzi Shirikishi Polisi Jamii imesaidia kuleta mahusiano mazuri kati ya jeshi hilo na wananchi.Picha na Prona Mumwi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages