WAJUMBE WA TUME YA KATIBA WAENDELEA NA UCHAMBUZI WA MAONI YA WANANCHI KUHUSU KATIBA MPYA. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

WAJUMBE WA TUME YA KATIBA WAENDELEA NA UCHAMBUZI WA MAONI YA WANANCHI KUHUSU KATIBA MPYA.

1.Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim (kulia) akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika leo (jumanne Machi 26, 2013) katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Wengine ni Wajumbe wa Tume, Prof. Mwesiga Baregu (katikati) na Suleiman Ali.
5.Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Humphery Polepole (aliyesimama) akizungumza  wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika leo (jumanne Machi 26, 2013) katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Wengine ni Wajumbe wa Tume, Simai Mohammed na Dkt. Adrian Sengondo Mvungi.
6.Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani (kulia) akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika leo (jumanne Machi 26, 2013) katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mjumbe wa Tume, Dkt. Salim Ahmed Salim.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages