WADAU WA HABARI WATOA TAMKO JUU YA HALI YA KUTESWA NA KUUMIZWA KWA NDUGU KIBANDA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WADAU WA HABARI WATOA TAMKO JUU YA HALI YA KUTESWA NA KUUMIZWA KWA NDUGU KIBANDA


Mwenyekiti wa MOAT, Reginald Mengi akifafanua jambo wakati akitoa tamko la wadau wa habari waliokutana leo jijini Dar es Salaam kujadili ya hali ya kuzorota kwa mazingira ya usalama kwa waandishi wa habari na wanaharakati wengine.

Mwenyekiti wa MOAT, Reginald Mengi, Katibu wa Jukwaa la Wahariri, Neveli Meena na Mhariri Mtendaji wa Free Media, Ansbert Ngurumo wakitafakari jambo katika mkutano wa wadau wa habari kujadili ya hali ya kuzorota kwa mazingira ya usalama kwa waandishi wa habari na wanaharakati wengine. (Picha na Habari Mseto Blog)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages