MUENDELEZO
WA HABARI YA KUVAMIWA NA KUPIGWA KWA MWENYEKITI WA JUKWAA LA
WAHARIRI:Taarifa tulizozipata toka kwa Mwandishi wetu aliyepo Taasisi ya
Mifupa MOI ,hali ya Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri ABSALOM KIBANDA
bado si nzuri na kwamba Jukwaa la wahariri linafanya utaratibu wa
kumpeleka nje ya nchi kwa matibabu zaidi
Tutaendelea Kujuzana Kadri Taarifa tunapozipata...
Source: ITV






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)