Ndugu zangu wapendwa nawasalimu katika jina la alie juu yeye atupae
uzima. Naomba niwajulishe watz wote waishio UK kuwa ndugu yetu Josephat
Torner alieshiriki katika BBC Documentary ya albino killings in
Tanzania iliyoonyeshwa mwaka jana ameshawasili tokea jana tayari
kushiriki katika film nyingine itakayoonyeshwa siku ya Ijumaa tarehe 15
Mach 2013.
Josephat Torner angependa sana kukutana na Watanzania waishio huku nje
ili atueleze uzito wa hili swala Na jinsi tutakavyoweza kisaidiana.
Tunawaomba watanzania tujitokeze kwa wingi tumuunge mkono huyu ndugu
yetu kwa jitihada zake na ujasiri wake kwani ni kazi inauohitaji moyo
sana na inaumiza roho sana kusikia mateso wanayoyapata hawa wenzetu
wenye ulemavu wa ngozi.
Filmed
over six years, In the Shadow of the Sun tells the story of two men
with albinism in Tanzania, Josephat Torner and 15-year-old Vedastus, who
are pursuing their dreams in the face of virulent prejudice. Through
his intimate portrait, filmmaker Harry Freeland reveals a story of
deep-rooted superstition, heartfelt suffering, and incredible strength.
Please note: All Human Rights Watch Film Festival screenings will start promptly at the advertised time.
SHOWING AT:
SOHO CURZON
FRIDAY 15 MARCH 2013
TIME: 18:30
ADVISED 16
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)