UJENZI WA BARABARA ZA MABASI YAENDAYO KASI UKIENDELEA KWA KASI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UJENZI WA BARABARA ZA MABASI YAENDAYO KASI UKIENDELEA KWA KASI

Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi wa Barabara ya Strabag wakiendelea na kazi za ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kwa kasi katika barabara ya morogoro maeneo ya akiba mbele ya Jengo la NSSF.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages