Mbunge wa Viti Maalum, Catherine Magige ambaye ni Kiongozi wa Taasisi ya Catherine Foundation, akimkabidhi Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mount Meru, Frida Mokit msaada wa mablang’eti ya kujifunikia wagonjwa waliolazwa Hospitalini hapo.
Mbunge wa Viti Maalum, Catherine Magige ambaye ni Kiongozi wa Taasisi ya Catherine Foundation, akiwajulia hali wagonjwa waliolazwa Hospitali ya Mt. Meru ya jijini Arusha na kuwapa zawadi mbalimbali.
Taasisi
ya Maendeleo isiyo ya kiserikali ya Catherine Foundation ya jijini
Arusha leo imetoa misaada mbalimbali ya vyakula kwa wagonjwa Hospitali
ya Mt Meru na vituo viwili vya Yatima vya Faraja na Lohada Moshono
vyopte vya jijini humo.
Catherine Foundation Develeppent inaongozwa na Mbunge wa Viti Maalum UVCCM Arusha, Catherine Magigie.
Misaada hiyo ya vyakula na sabuni pamoja na kuwatembelea wagonjwa
kufanyika ikiwa ni sehemu ya kuwapa faraja wagonjwa na yatima hao waki
huu wa kuelekea siku kuu ya Pasaka
ili nawao wajisikie ni miongoni mwa jamii.
ili nawao wajisikie ni miongoni mwa jamii.









No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)