Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipokea mfano wa ufunguo kutoka kwa Rais
Wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe.Xi Jinping, wakati wa makabidhiano ya
Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam jana.Ukumbi huo umejengwa kwa ushirikiano kati ya Seriklai ya
China na Tanzania.
Baadhi ya Waheshimiwa Wabunge, waliohudhuria makabidhiano ya Ukumbi huo wa Kimataifa wa mikutano wa Mwalimu Nyerere jana.
Baadhi ya Waheshimiwa Wabunge, waliohudhuria makabidhiano ya Ukumbi huo wa Kimataifa wa mikutano wa Mwalimu Nyerere jana.
Mandhari ya ukumbi huo.
Wageni waalikwa kataika hafla hiyo ya uzinduzi wa Ukumbi huo wa Kimataifa wa mikutano.
Sehemu ya wageni waliohudhuria uzinduzi wa Ukumbi huo.
Mawaziri wa Tanzania na wawakilishi wakisubiri kutiliana saini na Mawaziri wa China.
Rais wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete na Rais wa China, Xi Jinping,
wakiwashuhudia mawaziri wa Tanzania, Bernald Membe wa China, wakitiliana
saini mkataba, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam, juzi usiku.
Mawaziri wa China na wawakilishi wa China wakisubiri kutiliana saini na Mawaziri wa Tanzania.
Rais
wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete na Rais wa China, Xi Jinping,
wakiwashuhudia mawaziri wa Tanzania, Prof. William Mgimwa na wa China,
wakitiliana saini mkataba, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam, juzi usiku.
Rais
Jakaya Kikwete na mkewe, Rais wa China na mkewe, wakiwa katika picha ya
pamoja na mtoto wa rais Jakaya, Ridhwan Kikwete, baada ya hafla ya
chakula cha usiku iliyofanyika Ikulu juzi usiku.
Rais
wa China Xi Jinping, akiagana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akiondoka nchini jana.
Katikati ni Rais Jakaya Kikwete.
Rais Jakaya Kikwete, akiagana na Rais wa China Xi Jinping, wakati akipndoka nchini jana.
Rais
wa China, Xi Jinping na mkewe, wakipunga mikono kuwaaga viongozi wa
Tanzania na wananchi waliojitokeza uwanjani hapo kuwaaga jana.
Rais
Jakaya Kikwete, Mkewe Mama Salma Kikwete, Makamu wa Rais, Dkt. Bilal,
Waziri Mkuu Mizengo Pinda na baadhi ya viongozi wa Serikali, wakipunga
mkono kumuaga Rais wa China, Xi Jinping, wakati ndege yake ikianza
kuondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana jioni
kuelekea nchini Afrika ya Kusini, baada ya kumaliza ziara yake ya siku
mbili nchini Tanzania.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)