RAIS KIKWETE AMWANDALIA DHIFA YA KITAIFA WAZIRI MKUU WA DENMARK - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS KIKWETE AMWANDALIA DHIFA YA KITAIFA WAZIRI MKUU WA DENMARK

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt  katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Ikulu jana usiku
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt wakiangalia ngoma za utamaduni za kundi la JKT  katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Ikulu jana usiku
 Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt akiongea wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jana usiku
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigonganasha glasi ya kutakiana afya njema na  Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt  katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Ikulu jana usiku.Picha Na Ikulu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages