Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa miradi ya Maji, William
Kazenga, kuhusu upanuzi wa mtambo wa Ruvu chini wa kusambaza maji,
wakati Makamu alipofika eneo hilo jana Machi 14, 2013 kwa ajili ya
kukagua kazi zinazoendelea za upanuzi wa Mtambo huo wa Ruvu chini.
Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi (wa pili kushoto) ni
Waziri wa Maji na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Mto Ruvu sehemu yanapoanzia kukusanywa maji yanayoingia katika mitambo kwa ajili ya kuandaliwa ili kuwa tayari kwa matumizi.
Ujenzi
wa upanuzi wa mtambo wa Ruvu chini ukiendelea ili kuweza kufikia kutoa
kiasi cha maji cha Lita zaidi ya milion 4 ili kuweza kukidhi mahitaji ya
wakazi wa jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa miradi ya Maji, William
Kazenga, kuhusu upanuzi wa mtambo wa Ruvu chini wa kusambaza maji,
wakati Makamu alipofika eneo hilo jana Machi 14, 2013 kwa ajili ya
kukagua kazi zinazoendelea za upanuzi wa Mtambo huo wa Ruvu chini.
Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi (wa pili kushoto) ni
Waziri wa Maji na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
(wa pili kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa miradi ya
Maji, William Kazenga, kuhusu upanuzi wa mtambo wa Ruvu chini wa
kusambaza maji, wakati Makamu alipofika eneo hilo jana kwa ajili ya
kukagua kazi zinazoendelea za upanuzi wa Mtambo huo wa Ruvu chini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na wananchi Mji mpya wa Mabwe Pande (hawapo pichani) wakati
alipofika katika mji huo jana akiwa katika ziara yake ya kutembelea na
kukagua miradi ya Maji inayosimamiwa na Dawasa na kutembelea katika
Mtambo wa Ruvu Chini kukagua kazi zinazoendelea za upanuzi wa Mtambo huo
wa Ruvu chini. Kulia ni Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe
(kushoto) ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida
na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Saidik.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitembelea kukagua kazi zinazoendelea za upanuzi wa Mtambo wa Maji wa
Ruvu chini jana wakati Makamu alipofika eneo hilo jana.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadik, Waziri wa Maji,
Jumanne Maghembe, Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantum Mahiza na Mkuu wa
Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi, wakiwa katika picha ya pamoja na
wafanyakazi na viongozi wa Dawasa baada ya Makamu kutembelea na kukagua
kazi zinazoendelea za upanuzi wa Mtambo wa Ruvu chini, jana.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)