LUKAZA BLOG EXCLUSSIVE: BASI LA MOHAMED LAPATA AJALI USIKU HUU GAIRO LIKIWA LINAELEKEA DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

LUKAZA BLOG EXCLUSSIVE: BASI LA MOHAMED LAPATA AJALI USIKU HUU GAIRO LIKIWA LINAELEKEA DODOMA

LUKAZA BLOG EXCLUSSIVE:
 
Taarifa zilizotufikia Kwenye Dawati la Lukaza Blog usiku Huu zinasema kuwa Basi la Mohamed likiwa linatoka Dar Kuelekea Dodoma limepata ajali Usiku Huu katika Eneo la Gairo....mpaka sasa Bado haijajulikana kama kuna waliopoteza maisha na kujeruhiwa tutazidi kujuzana kadri tunavyozipata taarifa hizi na tunajitahidi kupata taarifa kamili.
{ Lukaza Blog }»»http://josephatlukaza.blogspot.com/
@ LUKAZA BLOG

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages