DK.SHEIN AHITIMISHA ZIARA YAKE YA WILAYANI MAGHARIBI UNGUJA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DK.SHEIN AHITIMISHA ZIARA YAKE YA WILAYANI MAGHARIBI UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi ukumbi wa ikutano wa Ushirika wa Meli Nne Saccos,alipokuwa katika katika ziara ya Wilaya ya Magharibi Unguja iliyomalizika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Miundombinu,Dk.Juma Malik Akili,(kushoto) alipotembelea maendeleo ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege,unaoendelea,akiwa katika ziara ya Wilaya ya Magharibi Unguja iliyomalizika leo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages