BREAKING NYUZZZZZ.......: MTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRI EVALIST MUSHI AKAMATWA ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

BREAKING NYUZZZZZ.......: MTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRI EVALIST MUSHI AKAMATWA ZANZIBAR


MTU ANAESADIKIWA KUWA NDIE MUUAJI WA PADRI EVALIST MUSHI WA KANISA KATOLIKI,VISIWANI ZANZIBAR,AMEKAMATWA ALASILI HII MAENEO YA KARIAKOO,ZANZIBAR.

JESHI LA POLISI LIMETHIBITISHA KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA HUYO,NA KWENYE NAE KITUONI KWA AJILI YA MAHOJIANO ZAIDI.

PADRI MUSHI ALIUWAWA KWA KUPIGWA RISASI MWEZI ULIOPITWA WAKATI AKIWA KWENYE GARI LAKE KUELEKEA KANISANI KWENYE IBADA YA JUMAPILI.

GLOBU YA JAMII ITALETA TAARIFA KAMILI YA KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA HUYO HAPO BAADAE KIDOGO.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages