BREAKING NEWS: KAJALA IS NO MORE TO SEGEREA..WEMA SEPETU AMLIPIA FAINI YA SHILINGI MILIONI 13 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BREAKING NEWS: KAJALA IS NO MORE TO SEGEREA..WEMA SEPETU AMLIPIA FAINI YA SHILINGI MILIONI 13

Kajala Masanja
Hukumu ya kesi iliyokuwa inamkabili staa wa filamu , Kajala Masanja na mumewe imetolewa leo na Hakimu Sundi Fimbo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar. 
 
Katika hukumu hiyo Kajala amehukumiwa kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya shilingi milioni 13 na mumewe kwenda jela miaka saba au kulipa faini ya shilingi milioni 200.

Baada ya hukumu hiyo kutolewa Malkia wa Filamu za Bongo Wema Abraham Sepetu
amuokoa Kajala kwa kulipa kiasi cha Shilingi Milioni 13 kilichotakiwa na Mahakama ikiwa ni faini aliyopaswa kulipa kutokana na Kesi iliyokuwa ikimkabili

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages