Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akibadilishana
hati na Mwakilishi wa AfDB nchini Tonia Kandiero mara baada ya kusaini makubaliano
leo jijini Dar es salaam ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) wa kuipatia
Tanzania shilingi bilioni 34.8 za kusaidia mradi wa maji Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Wizara
ya Fedha Ramadhan Khijjah
(kushoto) na Mwakilishi wa AfDB nchini Tonia Kandiero wakisaini makubaliano
leo jijini Dar es salaam ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) wa kuipatia Tanzania
shilingi bilioni 34.8 za kusaidia mradi wa maji Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)