Balozi Tuvako Manongi akisaini kitabu cha maombolezo ya Hugo Chavez - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Balozi Tuvako Manongi akisaini kitabu cha maombolezo ya Hugo Chavez


 Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa,  Balozi Tuvako Manongi, jana  Ijumaa aliungana na  Mabalozi wengine katika kutia saini kitabu cha Maombolezo  kufuatia kifo cha Rais wa Venezuela,  Hugo Chaves, aliyefariki siku  ya jumanne wiki hii kwa ugonjwa wa  kansa. Kitabu hicho  kilifunguliwa katika Ubalozi wa Kudumu wa  Venezuela katika Umoja wa Mataifa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages