WANASAYANSI NCHINI TANZANIA WAANZISHA USHIRIKIANO KATI YAO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WANASAYANSI NCHINI TANZANIA WAANZISHA USHIRIKIANO KATI YAO

1Katibu wa Mambo ya Nje wa Taasisi ya Royal Society ya Uingereza Profesa Martyn Poliakoff akikabidhiwa tuzo ya heshima na  Rais wa Tanzania Academy of Sciences(TAAS)Profesa Esther Mwaikambo kwenye mkutano wa kuanzishwa ushirikiano wa wanasayansi wa nchini uliofanyika leo Makao makuu ya Kituo cha Sayansi Kijitonyama jijini Dar es salaam na kuhudhuriawa na wanasayansi kutoka vyuo na Taasisi mbalimbali za nchini  Tanzania.
3Mgeni Rasmi, ambaye ndiye Muasisi wa TAAS na pia ni mjumbe wa  TAAS prof, Mathhew Luhanga akimkabidhi cheti mmoja wa Watafiti wa Sayansi.
4Katibu wa  Royol Society iliyopo London  Prof Martin Poliakoff  akiwa kwenye picha ya pamoja na wanasayansi baada ya kumalizika kwa mkutano huo.
5Rais wa Tanzania Academy of Science (TAAS) Prof,Esther Mwaikambo,  akizungumza katika Hafla ya kuwatunuku watafiti wa Sayansi leo  katika ukumbi wa COSTECH uliopo jijini Dar es Salaam.PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages