| Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Sinza Tower wakifanya maigizo kuonesha madhara ya wanafunzi kujihusisha na mapenzi wawapo shuleni. |
| Msimulizi wa Hadithi za fasihi, Rupal Ganatra (kulia) akitoa simulizi kwa wanafunzi walioshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wapendao kwa Mrengo wa Kijinsia katika bustani ya SOMA. |
| Meneja wa Habari TGNP, Lilian Liundi (aliyeshika kipaza sauti) akiimba na wanafunzi (hawapo pichani) pamoja na wageni waalikwa walioshiriki Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa Kijinsia Dar es Salaam. |
| Meneja wa Habari TGNP, Lilian Liundi (kulia) akizungumza na wanafunzi anuai waliohudhuria maadhimisho ya Siku ya Valentine kwa Mrengo wa Kijinsia. |
| Meneja wa Habari TGNP, Lilian Liundi akizungumza na waandishi wa habari katika maadhimisho hayo. |
| Vikundi vya wanafunzi wakiwa katika majadiliano na tafakari baada ya kuwasilishwa kwa mada mbalimbali katika hafla hiyo. |

| Wanafunzi wakiwa katika majadiliano kwenye vikundi. Wa pili kutoka kulia ni Meneja wa Habari TGNP, Lilian Liundi akiwasikiliza. |

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)