KAMANDA
wa Polisi Mkoani Geita Kamishna Msaidizi wa polisi (ACP) Leonard Paul.Picha na David Azaria
---
Suala la nani achinje nyama limeibua vita kali kati ya wakristo na
waislamu wilayani Chato mkoa wa Geita. Vyanzo vyetu vinatuambia mtu
mmoja ameshafariki.Juhudi za kumtafuta kamanda wa polisi mkoani Geita zinaendelea
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)