Wamiliki wa maduka wakiwa na bidhaa zao nje baada ya kuviokoa katika
ajali ya moto uliokuwa unaunguza maduka yao katika Kituo cha Daladala
cha Mwenge, Dar es Salaam leo. Zaidi ya maduka 18 ya vipondozi
yalikumbwa katika mkasa huo.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji cha Jiji la Dar es Salaam, wakikagua baadhi ya maduka yaliathirika katika ajali hiyo.
Moja ya duka lililoungua paa
Wafanyabiashara wa maduka hayo wakiokoa bidhaa zao.
Asilimia ya vipodozi vikiwa nje baada ya kuviokoa kwenye ajali hiyo
Mmoja wa wamiliki wa maduka hayo akitafakari kuhusu ajali hiyo
Askari wa kike akilinda doria eneo hilo
Binti mfanyabiashara wa moja ya maduka hayo akiwa na huzuni
Mmoja wa maofisa wa Kikosi cha Polisi akielezea kuhusu ajali hiyo
Baadhi ya magari ya zimamoto yakiwa eneo la tukio
Mmoja wa maofisa wa Zimamoto akielezea kuhusu ajali hiyo
Wananchi wakishuhudia ajali hiyo nje ya kamba
Askari wa zimamoto wakikunja mipira yao ya maji baada ya kuuzima moto
katika maduka hayo. (PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)