MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA DIAMOND AFANYA KWELI NDANI YA UKUMBI WA SAFARI JIJINI ARUSHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA DIAMOND AFANYA KWELI NDANI YA UKUMBI WA SAFARI JIJINI ARUSHA

100_9439
 Msanii wa kizazi kipya ajulikanaye kwa jina la Nasib Abudul(diamond Platinum)akiwapa burudani wa kazi wa jiji la Arusha katika shoo yake iliodhaminiwa na kituo cha radio 5 ndani ya  klabu ya safari iliopo ndani ya ukumbi wa jengo la sundown cornival lililopo nje kidogo ya jiji la Arusha
100_9425
warembo wakichat wakati burudani ikiendelea
100_9430
 wadada nao wanajua kutunza uyu mdada yeye alipenda wimbo wa kizai zai wa diamond akaamua kwenda kumtunza kabisa
100_9431

100_9441
 Msanii diamond akiwapagawisha mashabiki wa Arusha waliouthuria katika show
100_9438
Mashabiki wa diamond wakitamani kupigwa ata Kiss na msanii huyo 
100_9390
 Ma dance wanaotikisa Tanzania kutoka Arusha Contegeous waliokuwepo katika show hiyo wakiburudisha
100_9398
 Baadhi ya wadada waliokuja kutazama show wakimfurahia msanii daimond
100_9401
 Wakwanza kutoka kulia ni mkurugenzi wa mwandago investiment akifuatiwa na meneja masoko wa K-vant Gin Godluck kwayu,meneja wa sigara kanda ya kaskazini jina halijaweza fahamika mara moja akifuatiwa na meneja wa TBL nao waliudhuria katika show ya diamond platinum
100_9412


100_9421
Diamond Akicheza na mshabiki wake baada ya kushuka stage
100_9376
 Hili ni jiko la kisasa la kuchoma nyama lililopo ndani ya hotel ya sundown conival
100_9386
 picha juu na  chini ni warembo wa  kituo cha radio 5 ambao ndio wathamini wa kuu wa show hiyo ya diamond plaatinum
100_9388

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages