Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akionesha jarida la Mahakama baada ya kulizindua wakati wa sherehe za maadhimisho ya kilele cha Siku ya Sheria Zanzibar,zilizofanyika jana,katika viwanja vya Victoria garden Mjini Zanzibar,(kushoto), Kaimu Waziri wa Katiba na Sheria,pia Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui,na (kulia) Jaji Mkuu waZanzibar Omar Othman Makungu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wananchi na wanasheria wakati wa sherehe za maadhimisho ya kilele cha Siku ya Sheria Zanzibar,zilizofanyika jana,katika viwanja vya Victoria garden Mjini
Zanzibar,(kushoto), Kaimu Waziri wa Katiba na Sheria,pia Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui,na (kulia) Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu
Zanzibar,(kushoto), Kaimu Waziri wa Katiba na Sheria,pia Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui,na (kulia) Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu
Kikundi cha Wasanii kutoka Mafunzo wakiburudisha wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria zanzibar,ambapo kauli mbiu “Kutokomeza Unyanyasaji Kijinsia”,katika uwanja wa Bustani ya Victoria Garden jana.
Viongozi wa Dini mbali mbali na Majaji wa Mkoa wakisikiliza kwa makini hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,aliyoitoa jana katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar,katika Uwanja wa bustani ya Victoria Garden.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu,(kushoto) na Kaimu Waziri wa Katiba na Sheria pia Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui,alipowasili katika viwanja vya Victoria Garden,katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar,zilizofanyika jana.
Viongozi wakisimama wakati wimbo wa Taifa wa Zanzibar
ukipigwa na Brass band kikosi cha polisi katika sherehe za maadhimisho
ya Siku ya Sheria Zanzibar.mara alipowasili Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa ndio
mgeni rasmi katika hafla hiyo,iliyofanyika viwanja vya Victoria garden
Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
ukipigwa na Brass band kikosi cha polisi katika sherehe za maadhimisho
ya Siku ya Sheria Zanzibar.mara alipowasili Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa ndio
mgeni rasmi katika hafla hiyo,iliyofanyika viwanja vya Victoria garden
Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kushoto) Jaji Kiongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Fakih Jundu,(kutoka kushoto) na Kaimu Waziri wa Katiba na Sheria,pia Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui,(kutoka kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi khamis,Spika wa baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu,wakiangalia Kikundi cha wasanii cha Black Roots kilipokua kikitumbuiza katika kilele cha Siku ya Sheria jana.
Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Ibrahim Mzee,alipokuwa akizungumza wakati wa sherehe za maadhimisho ya kilele cha Siku ya Sheria Zanzibar,zilizofanyika jana,katika viwanja vya Victoria garden Mjini Zanzibar,ambapo ujumbe wa mwaka huu unasema “Kutokomeza Unyanyasaji Kijinsia”.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)