KUTOKA VIWANJA VYA BUNGENI MJINI DODOMA HAPO JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

KUTOKA VIWANJA VYA BUNGENI MJINI DODOMA HAPO JANA

 Naibu Waziri wa Fedha Janet Mbene(kushoto) akisalimiana na Mbunge  Khalifa Suleiman Khalifa (Gando) katka viwanja vya Bunge jana mjini Dododma.
Wabunge wa Upinzani walipokutana katika mkutano wao Mjini Dodoma jana na waandishi wa habari na kutoa taarifa ya msimamo wao baada ya Mbunge wa Kuteuliwa (NCCR – Mageuzi) Joseph Mbatia kuambiwa aondoe hoja yake Bungeni  na kukataa.
 Mbunge wa Kuteuliwa (NCCR- Mageuzi James Mbatia (kushoto) akiongea na waandishi wa habari  katika Ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma baada ya kuambiwa aondoe hoja yake ambako alikataa.(Mwengine), ni  Mnadhimu Mkuu wa Upinzani Tundu Lissu.
 Wabunge wa upinzani wakijiandaa kutoka nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo baada ya  kukataa hoja  ya kukataliwa hoja ya Mbunge wa Kuteuliwa (NCCR- MAGEUZI) James Mbatia  ambapo ametakiwa aondoe ambapo amekataa.
 Baadhi ya Wabunge wa Upinzani wakiwa nje ya viwanja vya Bunge baada kutoka  kupinga kwa kukataliwa kwa hoja  ya Mbunge wa Kuteuliwa (NCCR-MAGEUZI) James Mbatia kuambia aondoe hoja yake na kukataa jana Bungeni.
Baadhi ya Wabunge wa Vyama vya Upinzani wakitoka ndani ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma baada ya Mbunge wa kuteuliwa wa NCCR- MAGEUZI, James Mbatia baada ya kuambiwa aondoe hoja yake mezani ambako alikataa,(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages