Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni,Mh. Tundu Lissu akitoka ndani ya ukumbi wa Bunge leo.
Mnadhimu
Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni,Mh. Tundu Lissu (kulia} akijadiliana
jambo na Naibu Spika wa Bunge,Mh. Job Ndugai nje ya ukumbi wa Bunge
mjini Dodoma leo.Wengine ni Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh.
Joshua Nassari na Mbunge wa Iringa Mjini,Mchungaji Msigwa
wabunge wa upinzani wakiwa wamesimama wote kwa pamoja kupinga hoja leo Bungeni.
Naibu Spika Bunge,Mh. Job Ndugai (kulia) akionyeshwa makabrasha na Mbunge wa Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassari muda mfui baada ya kuahurishwa kwa kikao cha Bunge leo.Picha na Mwanakombo Jumaa,Maelezo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)