JK ATUA KIGOMA KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 36 YA CCM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

JK ATUA KIGOMA KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 36 YA CCM

 Ndege iliyombeba Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoani Kigoma jioni hii,tayari kwa kuhudhulia Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi (CCM),yatakayofanyika kitaifa kesho kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Mh. Issa Machibwa wakati alipo wasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma,Jioni ya leo tayari kwa kuhudhulia Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi (CCM),yatakayofanyika kitaifa kesho kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.
 Mwenyekiti wa Chama cha  Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana wakati alipo wasili kwenye Uwanja wa Ndege wa  Kigoma,Jioni ya leo tayari kwa kuhudhulia Sherehe za Maadhimisho ya
Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi (CCM),yatakayofanyika kitaifa kesho  kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.Wa tatu kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara,Phillip Mangula.
Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea salamu kutoka kwa vijana wa Chipukizi wa CCM mkoani Kigoma,wakati alipo wasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma,Jioni ya leo tayari kwa kuhudhulia Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi (CCM),yatakayofanyika kitaifa kesho kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na Chipukizi wa CCM mkoani Kigoma wakati alipo wasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma,Jioni ya leo,tayari kwa kuhudhulia Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi (CCM),yatakayofanyika kitaifa kesho kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM - Bara,Mh. Mwigulu Nchemba.
Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM mkoani Kigoma.


Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wananchi wa Mkoa wa Kigoma waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Ndege wa Kigoma kumlaki.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza jambo na Kada wa CCM,Mh.Rajab Mwilima.Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages