Jaji
Mkuu wa Uganda Mhe. Benjamin Odoki (kushoto) akiongea na Wajumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika ofisi za Tume jijini Dar es
Salaam jana (alhamisi Feb. 14 2013) kuhusu uzoefu wake katika uandishi
na utekelezaji
wa Katiba. Jaji Odoki aliongoza Tume ya Katiba ya Uganda iliyoundwa
mwaka 1989. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Joseph Warioba.
Jaji Mkuu wa Uganda Mhe. Benjamin Odoki (kulia) akiongea na Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam.
Jaji Odoki, ambaye aliongoza Tume ya Katiba ya Uganda iliyoundwa mwaka
1989, amekutana na Wajumbe wa Tume jana (alhamisi Feb. 14, 2013) na kuzungumzia
uzoefu wake kuhusu uandishi na utekelezaji wa Katiba Mpya.Picha na Tume ya Katiba
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)