BINTI ANUSURIKA KUFA BAADA YA KUNYWA SUMU YA PANYA KUTOKANA NA KUFELI MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2012 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BINTI ANUSURIKA KUFA BAADA YA KUNYWA SUMU YA PANYA KUTOKANA NA KUFELI MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2012

Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Bushiri, iliyopo Wilaya ya Pangani mkoani Tanga, Mpaji Said (20), akiwa amelazwa katika hospitali ya wilaya hiyo, akipatiwa matibabu baada ya kudaiwa kunywa sumu ya panya, kutokana na fedheha aliyoipata kwa kutofaulu mtihani wa taifa wa kidato cha nne.Picha na John Senmkande

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages