WAZIRI MKUU MSTAAFU LOWASSA, CHAMA CHA WAAJIRI NA WABUNGE WANAWAKE WATOA MAONI YA KATIBA MPYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU MSTAAFU LOWASSA, CHAMA CHA WAAJIRI NA WABUNGE WANAWAKE WATOA MAONI YA KATIBA MPYA

1.WaziriMkuumstaafu, Mhe. Edward Lowassa akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika leo (jumannejanuari 22, 2013) katika ofisi zaTume jijini Dar es Salaam, ambapo alitoa maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya. Kulia ni Mjumbe wa Tume Bi. Maria Kashonda.
2.Waziri Mkuu mstaafu, Mhe. Edward Lowassa akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika leo (jumanne januari 22, 2013) katika ofisi zaTume jijini Dar es Salaam, ambapo alitoa maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.Katikati ni Mwenyekiti waTume hiyo, Jaji Joseph Warioba na Mjumbe waTume, Dkt. Salim Ahmed Salim.
3.Waziri Mkuu mstaafu, Mhe.Edward Lowassa, Mhe. Edward Lowassa akibadilishana mawazo na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nje ya ofisi zaTume hiyo leo (jumanne januari 22, 2013)Jijini Dar es Salaam mara baada ya kutoa maoni na uzoefu  Wengine pichani ni Wajumbe waTume, Waziri Mkuu mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim, Bi. Maria KashondanaDkt. Sengondo Mvungi.
5.Katibu wa Chama cha Wabunge Wanawakewa Bunge la Jamhuriya Muungano wa Tanzania amabaye pia ni NaibuWaziri wa Katiba n aSheria, Mhe. Angelllah Kairuki akiwalisha maoni ya Chama hicho kuhusu Katiba Mpya kwa Tumeya Mabadiliko ya Katiba wakati wa mkutano wao uliofanyika leo jumanne januari 22, 2013) katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam.
6Mwenyekiti wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Bw. Almas Maige akizungumza na wajumbe waTume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika leo (jumanne januari 22, 2013) ambapo ATE iliwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya.
7. (2)Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Omari Sheha Mussa akizungumza na ujumbe kutoka Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) katika mkutano baina yao uliofanyika leo |(jumanne januari 22, 2013) katika ofisi zaTume hiyo, Jijini Dar es Salaam, ambapo ATE iliwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya.PICHA NA TUME YA KATIBA

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages