Meneja wa kinywaji cha Guinness.Davis Kambi akiongea.
Meneja wa kinywaji cha Guinnes, Davis Kambi akipiga picha ya pamoja na washiriki wa shindano la Guinness Football Challenge wakati walipokuwa wakiagwa kwenye mgahawa wa City Sports Lounge Posta ,jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki .Washiriki hao wameondoka usiku wa kuamkia jana kuelekea nchini Afrika Kusini ambako watashiriki katika shindano hilo.
Meneja wa kinywaji cha Guinnes, Davis Kambi akimkabidhi tiketi za ndege na hati za kusafiria kwa kiongozi wa washiriki wa shindano la Guinness Football Challenge,Mohamed Kobembe kwenye hafla fupi iliyofanyika mwishoni mwa wiki ndani ya kiota cha maraha cha City Sports Lounge kilichopo katikati ya jiji la Dar.
Meneja wa kinywaji cha Guinnes, Davis Kambi akitoa maelekezo machache kwa washiriki wa shindano la Guinness Football Challenge,kwenye hafla fupi iliyofanyika mwishoni mwa wiki ndani ya kiota cha maraha cha City Sports Lounge kilichopo katikati ya jiji la Dar.
Mmoja wa Wafanyakazi wa kampuni ya R&R,Peter Ngassa ambao ndio waratibu wa shindano la Guinness Football Challenge,akifafanua jambo kwa Wanahabari,kabla ya washiriki hao kukabidhiwa tiketi zao
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)