WANA NCHI WA KATA YA ITENKA .A. WAPANDA JUU YA MITI KUMUONA WAZIRI MKUU ALIPOKUWA ANAWAHUTUBIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WANA NCHI WA KATA YA ITENKA .A. WAPANDA JUU YA MITI KUMUONA WAZIRI MKUU ALIPOKUWA ANAWAHUTUBIA

Wana nchi wa kata ya Itenka A jimbo la katavi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza Mh waziri mkuu Mizengo Pinda alipo kuwa ana hutubia kuhimiza watu kulima kwa kutumia kilimo cha kisasa mwishoni mwa wiki wana nchi wengine walilazimika kupanda juu ya miti
Mke wa Waziri mkuu Mh Tunu Pinda akiwa ana sugua chungu ambacho hutumika katika ngoma marufu itwayo Nsimba  ya kabila la wapimbwe ambayo ilikuwa ikichezwa katika kata ya Itenka A na kikundi hicho  kinaitwa Pinda (Picha na Chris Mfinanga)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages