wahariri wa vyombo vya habari wapigwa msasa juu ya mkongo wa taifa leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

wahariri wa vyombo vya habari wapigwa msasa juu ya mkongo wa taifa leo

 Wahariri wakiangalia waya wa Mkongo wa Taifa
 Mhariri Mkuu wa Tanzania Daima Bw Ansbert Ngurumo akiangalia waya wa Mkongo wa Taifa
 Wahariri wakibadilishana mawazo wakati wa mapunziko ya semina hiyo katika hoteli ya New Africa jijini Dar es salaam leo

 Afisa biashara wa Mkongo wa Taifa Bw. Thomas Lemunge akielezea faida za huduma hiyo katika mawasiliano ya tehama
 Afisa biashara wa Mkongo wa Taifa Bw. Thomas Lemunge akielezea faida za huduma hiyo katika mawasiliano ya tehama
Meneja mwendeshaji wa mkongo wa Taifa Bw Adin Mgendi akifafanua jambo
0

Mhandisi wa Mkongo wa Taifa Bw Nsaji Mwamukonda akionesha kwa wahariri aina ya waya unaobeba mkongo huo. Taarifa kamili  ya semina hii badae kidooogo...

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages