UONGOZI WA KOMBE LA MAPINDUZI, WAKUTANA NA RAIS IKULU ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

UONGOZI WA KOMBE LA MAPINDUZI, WAKUTANA NA RAIS IKULU ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti cha Shukurani, Meneja wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited,(PBZ) Juma Amour, kwa Mchango wa Benki hiyo kufanikisha michuano ya Kombe la Mapinduzi iliyomalizika hivi karibuni. Hafla fupi ya mazungumzo na kukabidhi vyeti kwa waandaaji hao ilifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo mchana. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti cha Shukurani Ibrahim Raza wa Kampuni ya Hassan & Sons.
 Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Mapinduzi CUp na Wahisani waliochangia Kombe la Mapinduzi CUP,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa  akizungumza nao leo Ikulu Mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa  akizungumza na Uongozi wa Mapinduzi CUP ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kupata kupata nasaha pamoja na kukabidhi vyeti vya Shukurani kwa wahisani waliochangia kufanikisha mashindano ya Kombe la Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo na Wahisani waliochangia Kombe la Mapinduzi. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages