Tunasema asante kwa uvumilivu wenu
na kutuelewa kila mlipotupigia simu kuulizia hali ikoje,tunawashukuru
pia kwa simu zenu kwani tumejiona ni wenye bahati na kumbe mchango wetu
mnautambua vizuri asanteni sana wadau
Tunatoa shukurani kwa wadau wetu
wawezeshaji Benki ya NBC, Benki ya NMB,NHIF, TTB, SERENGETI BREWERIERS ,
WILNA INTERNATIONAL, BAYPORT na R&R kwa uvumulivu wenu tunasema
asanteni sana na Mablogger wote ambao walitusemea wakati tulipokuwa na
tatizo hili.
Shukurani za Pekee zimwendee
Mustafa Selemani mtaalam wetu na timu yake kwa kuhakikisha
wanarekebisha tatizo hilo mpaka tunarejea tena hewani usiku wa kuamkia
leo tunakushukuru Mustafa na timu yako ya G5CLICK.
Mwisho tunasema kazi inaendelea
mbele na wadau wote mnakaribishwa ktutumia habari na matukio mbalimbali
kupitia Email ya johnbukuku@gmail.com na info@fullshangweblog.com nasi
tutazimuvuzisha mtandaoni kama kawaida.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)