Tanzania na Japani watiliana saini ya ujenzi wa Barabara za juu eneo la Tazara Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Tanzania na Japani watiliana saini ya ujenzi wa Barabara za juu eneo la Tazara Dar es Salaam

 Hivi ndivyo eneo la Tazara, makutano ya Barabara ya Mandela na Nyerere litakavyonekana pindi ujenzi utakapokamilika
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa na Balozi wa Japan nchini, Masaki Okada wakibadilisha mikataba ya miradi mitatu iliyosainiwa jana yenye thamani ya Sh Bilioni 28 itakayotolewa na nchi hiyo kwa ajili ya ujenzi wa Barabara za juu eneo la Tazara Dar es Salaam, upanuzi wa Barabara ya Kilwa na fedha kwa ajili ya uendelezaji wa Kilimo kwanza
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa na Balozi wa Japan nchini, Masaki Okada wakitiliana saini ya mikataba ya miradi mitatu  yenye thamani ya Sh Bilioni 28 itakayotolewa na nchi hiyo kwa ajili ya ujenzi wa Barabara za juu eneo la Tazara Dar es Salaam, upanuzi wa Barabara ya Kilwa na fedha kwa ajili ya uendelezaji wa Kilimo kwanza

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages