Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili kufungua Skuli ya Sekondari ya Madungu Wilaya Chake chake Pemba jana,katika kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifunua pazia kuashiria kufunguliwa kwa Skuli ya Sekondari ya Madungu Wilaya Chake chake Pemba jana,katika kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,Akifungua Skuli ya Sekondari ya Madungu Wilaya Chake chake Pemba jana,katika kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitembelea katika maabara ya Skuli ya Sekondari ya Madungu Wilaya Chake chake Pemba jana,baada ya kuifungua rasmi katika kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)