Waziri
wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prof.Makame M,Mbarawa wapili kushoto akisalimiana na Waziri wa Habari
Utamaduni Utalii na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Said
Ali mbarouk mara alipowasili katika ufunguzi wa Kituo cha Kurushia
Matangazo ya Redio masafa ya kati(MIDIUM F)huko Bungi Wilaya ya Kati
Unguja.
Waziri
wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prof.Makame M,Mbarawa akikunjuwa Kitambaa kuashiria ufunguzi wa Kituo
cha Kurushia Matangazo ya Redio masafa ya kati(MIDIUM F)huko Bungi
Wilaya ya Kati Unguja.ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 49
ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri
wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prof.Makame M,Mbarawa akitoa hotuba katika sherehe za ufunguzi wa
Mitambo ya Matangazo ya Redio masafa ya kati(MIDIUM F)huko Bungi Wilaya
ya Kati Unguja.ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 49 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri
wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar Said Ali mbarouk akitoa hotuba ya kumkaribisha Waziri wa
Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prof.Makame M,Mbarawa katika sherehe za ufunguzi wa Mitambo ya
Matangazo ya Redio masafa ya kati(MIDIUM F)huko Bungi Wilaya ya Kati
Unguja.Picha/Habari Kwa Hisani ya Full Shangwe Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)