Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa,
wakati akiwasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,
jana Januari 24, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za mkesha wa
maulid za kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W.).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimina na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia na
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, wakati alipowasili kwenye
Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana usiku Januari 24,
2013 kwa ajili ya kuhudhuria mkesha wa sherehe za Maulid za kuzaliwa kwa
Mtume Muhamad (S.A.W).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akijumuika na waumin wa dini ya Kiislamu, katika mkesha wa Sikukuu ya
Maulid za kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W), zilizofanyika kwenye
Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana usiku Januari 24,
2013. Kushoto kwake ni ,Sheikh Mohamed Ismail.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Sheikh Mohamed Ismail, wakati akiondoka kwenye Viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana usiku Januari 24, 2013, baada ya
kuhudhuria sherehe za mkesha wa Sikukuu ya Maulid za kuzaliwa kwa Mtume
Muhammad (S.A.W).
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Zakia Bilal,
akijumuika na waumini wa dini ya kiislamu katika mkesha wa Sikukuu ya
Maulid za kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W), zilizofanyika kwenye
Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana usiku.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiteta jambo na Sheikh Mohamed Ismail, wakati alipokuwa katika Viwanja
vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana usiku Januari 24, 2013,
kwenye sherehe za mkesha wa Sikukuu ya Maulid za kuzaliwa kwa Mtume
Muhammad (S.A.W).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa salamu zake za mkesha wa sherehe za Maulid, ya Maulid za
kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W), wakati wa sherehe hizo
zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana
usiku.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James
Mbatia, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba na waumin wa dini ya kiislamu
wakijumuika kwa pamoja katika sherehe za mkesha wa Maulid ya kuzaliwa
kwa Mtume Muhammad (S.A.W), zilizofanyika jana usiku katika Viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.Picha Zote na Muhidin Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)