JERRY SILAA AFUNGUA SEMINA YA VIONGOZI WA UVCCM NA KUHUTUBIA MAMIA YA WAKAZI MKOANI MBEYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JERRY SILAA AFUNGUA SEMINA YA VIONGOZI WA UVCCM NA KUHUTUBIA MAMIA YA WAKAZI MKOANI MBEYA


Mjumbe wa NEC UVCCM Taifa Jerry Silaa akipigiwa saluti na Green Guard baada ya kuwasili.
Mjumbe wa NEC UVCCM Taifa Jerry Silaa akisalimiana na wajumbe wa UVCCM mkoa wa Mbeya na pembeni yake ni Mwenyekiti wa UVCCM Mbeya Aman Kajuna.

MNEC UVCCM Taifa Jerry Silaa akifungua semina ya siku mbili ya viongozi wa UVCCM mkoa wa Mbeya. Kushoto ni Aman Kajuna mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Mbeya.
Jerry Silaa akigawa kadi za CCM viwanja vya Nzovwe Jijini Mbeya leo.
Jerry Silaa akihutubia mamia ya wakazi wa eneo la Nzovwe jijini Mbeya.
Jerry Silaa akisalimiana na wananchi Nzovwe Jijini Mbeya.(Picha kwa hisani ya Kalulunga Blog).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages