IFAHAMU MAKEKE AFRIKA KOLEKSHENI KAMPUNI YA KIJANA WA KITANZANIA. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

IFAHAMU MAKEKE AFRIKA KOLEKSHENI KAMPUNI YA KIJANA WA KITANZANIA.

 Hatimaye Jocktan Maluli, Muhitimu wa Shahada Kwanza Ya Sanaa ya Uchoraji na Ubunifu kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) afungua KAMPUNI inayojihusisha na masuala mazima ya mitindo inayokwenda kwa jina la MAKEKE AFRIKA KOLEKSHENI, Kampuni hii imefunguliwa mwishoni mwa mwaka 2012 na kwa sasa inaelekea kuwa habari ya mjini kwani anajipanga kufanya show kubwa jijini dar, bila kusahau kuwa pembeni akiwa na Scholastica Sango ili kukupa radha nzima ya makeke,

OFISI ZA MAKEKE AFRIKA KOLEKSHENI ZIMEFUNGULIWA NA ZIPO

BOKO BARABARA YA BAGAMOYO
KWA MAWASILIANO : makekeafrika@yahoo.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages