Mwendesha Bodaboda akiwa amekamatwa na askari wa usalama barabarani kwa makosa tofauti tofauti ikiwemo kosa la kutokuvaa kofi ngumu kichwani (Helmet) jana katika barabara ya Kawawa Maeneo ya Magomeni Kama alivyonaswa na Mpiga Picha Wa Lukaza Blog
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)