Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Mradi wa e-Govement,ni Mradi wa Mkongo wa Mawasiliano ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambao ni utumiaji wa Teknohama katika shughuli za kiserikali pamoja nautoaji wa huduma kwa Wananchi au
Taasisi ili kuleta ufanisi,wepesi pamoja na uwazi,uzinduzi huo umefanyika huko Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pamoja na Balozi wa China nchini Tanzania Lou Younging, wakikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Mradi wa e-Govement,ni Mradi wa Mkongo wa Mawasiliano ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambao ni utumiaji wa Teknohama katika shuhuli za kiserikali pamoja nautoaji wa huduma kwa Wananchi au Taasisi ili kuleta ufanisi,wepesi pamoja na uwazi,uzinduzi huo umefanyika huko Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)