Mmiliki Wa Lukaza Blog, Josephat Lukaza akilichokonoa Dafu maana ndio msemo wa waswahili wa Pwani kuwa Raha ya Dafu lichokonolewe. Hapo ni Baada ya kumaliza kufanya kazi zangu za Siku na kabla ya kuondoka na kurejea ofisini nikaona sio mbaya kama nikipata kitu cha dafu la Kigamboni huku nikiwa chini ya mti wenye kivuli safi kabisa kabla ya kurejea ofisini .Hapo nilikua Eneo moja Linaitwa Big Stone Kigamboni ambapo nilienda kuwatembelea wateja wetu nikaona Sio Mbaya Kama Nitapoza mwili Na Maji ya Dafu. Waswahili wa Pwani wanasema Raha ya Dafu lazima Lichokonolewe. Kiukweli Naipenda Sana Kazi yangu.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)