Baadhi ya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakimshusha mwenzao baada ya kujigonga kwenye mti na kujeruhiwa vibaya sana kwa kupasuka kichwa wakati akiwa kwenye Lori lenye namba za usajili 5514 JW 07 aina ya IVECO kandokando ya barabara ya Samora jirani na Idara ya Habari (Maelezo) jijini Dar es Salaam jioni hii.
Baadhi ya wasamalia wema wakimpeleka hospitali majeruhi huyo.
Majeruhi akiingizwa katika Bajaji tayari kwa ajili ya kupelekwa hospitali.
Hii ndio Barabara ya Samora ilipotokea ajali hiyo.
Hapa ndipo alipojigonga majeruhi na kupasuka kichwa. (Picha na Habari Mseto Blog)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)