TBL YAADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI. 400 WAJITOKEZA KUPIMA VIRUSI VYA UKIMWI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TBL YAADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI. 400 WAJITOKEZA KUPIMA VIRUSI VYA UKIMWI



 Watoto wanaolelewa katika Kituo cha Walioathirika kwa Ukimwi cha Tocha +, Saad Ramadhan (kulia) na Arnold Goha wakiwasha mshumaa na Mratibu Mkuu wa Kifua Kikuu na Ukimwi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Hakimu Mwaikasu, wakati wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ikiadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani, Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa TBL, Keneth Wanyoto. Zaidi ya watu 400 walipima Virusi vya Ukimwi siku hiyo.
 Watoto wanaolelewa katika Kituo cha Walioathirika kwa Ukimwi cha Tocha +, Saad Ramadhan (kulia) na Arnold Goha pamoja na Meneja Uhusiano Mambo ya Nje wa TBL, Emma Orio wakiwasha mishumaa wakati wa maadhimisho hayo
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakiwasha mishumaa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani, Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages