Kiongozi wa safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro,Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Jenerali George Waitara (aliesimama) akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika lango la Marangu.Kulia ni Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Balozi Mirisho Sarakikya.
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira,Mh James Lembeli akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa ni mkuu wa majeshi wa kwanza Tanzania (jenelari mstaafu) Balozi Mirisho Sarakikya akisisitiza jambo wakati wa hafla ya kuwaaga viongozi waliokuwa wakipanda mlima Kilimanjaro hivi karibuni.
Vifaa vya wapandaji vikiwa tayari.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)