Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi katika
Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada
Estate, jijini Dar es Salaam, leo Desemba 20, 2012.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, kwa pamoja wakifunua kitambaa
kuashiri uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya
Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es Salaam,
wakati wa hafla hiyo iliyofanyika leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Elius
Mwakalinga, wakati akitembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa Nyumba za
Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es
Salaam, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa
jengo hilo leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo na kuonyeshwa Ramani ya Jengo na Mtendaji Mkuu wa
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Elius Mwakalinga, wakati wa hafla ya
uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi
wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi ya sanamu la Kinyago cha Umoja, kutoka kwa Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Elius Mwakalinga (kulia) na
Mwenyekiti wake, Edward Ngwalle, (wa pili kulia) wakati wa hafla ya
uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi
wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika Picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa TBA, baada ya
hafla hiyo ya uwekaji wa jiwe la msingi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, wakati akiondoka eneo
la Ada Estate, baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Nyumba
za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar
es Salaam, leo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)