Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania 3 kati ya saba tu, (wawili
kushoto) na mmoja (kulia) wanaoishi nchini Mexico, baada ya kukutana nao
na kufanya mazungumzo, wakati akiwa nchini humo hivi karibuni. Nchi
hiyo inawatanzania saba wanaoishi nchini humo na kufanya shughuli zao,
ambapo hadi sasa wamebakia watanzania 3 baada ya wanne kujisapia
kusikojulikana na wenzao hao.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na mkewe Mama Asha Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na Watanzania 3
kati ya saba tu (wawili kushoto na mmoja kulia) wanaoishi nchini Mexico,
baada ya kukutana nao na kufanya mazungumzo, wakati akiwa nchini humo
hivi karibuni. Nchi hiyo inawatanzania saba wanaoishi nchini humo na
kufanya shughuli zao, ambapo hadi sasa wamebakia watanzania 3 baada ya
wanne kujisapia kusikojulikana na wenzao hao.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)