KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AFUNGA RASMI MAONYESHO YA SIKU YA ZIWA VICTORIA BARIADI-SIMIYU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AFUNGA RASMI MAONYESHO YA SIKU YA ZIWA VICTORIA BARIADI-SIMIYU

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Eng.Christopher Sayi akizindua rasmi Tovuti ya Mradi wa Hifadhi ya Mazingira ya Ziwa Victoria (LVEMP 11) jijini Mwanza.Uzinduzi wa Tovuti hiyo ni sehemu ya maadhamisho ya siku ya Ziwa Voctoria.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Eng.Christopher Sayi akipanda mti katika Shule ya Msingi Mkapa kijiji ca Malekano Wilayani Maswa. Mradi wa upandaji miti unafadhiliwa na Mradi wa Hifadhi ya Mazingira ya Ziwa Victoria (LVEMP 11)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Eng.Christopher Sayi akipata maelezo ya udhiti wa Magugu Maji kwa kutumia wadudu maakum (mbawamaji)kutoka kwa Mkuu wa kikundi cha Bmueco Nyarusurya kwenye maonyesho ya Siku ya Ziwa Victoria jijini Bariadi Mkoani Simiyu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Eng.Christopher Sayi akipata maelezo ya upimaji wa uwingi wa Maji mtoni kwa kutumia kifaa maalumu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Eng.Christopher Sayi akiwa na Vingozi wa Chama na Serikali kwenye madhisho ya Siku ya Ziwa Victoria Bariadi Simiyu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages