Onesho la bendi ya FM Academia kutimiza miaka 15 tangu kuanzishwa kwake gaoa nchini linadhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo
Hapa mzuka wa muziki umepanda na uko juu sana kama unavyoona.
Baadhi ya mashabiki wa bendi hiyo hawakuwa nyuma kulisakata Sebene la FM Academia kama wanavyoonekana.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)