Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiongea
na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Maudhui ya Sekta ya Utangazaji wakati
alipoizindua Kamati hiyo (leo) jijini Dar es Salaam kushoto kwa Waziri
ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Bibi Rehema
Makuburi.Picha zote na Benjamin Sawe.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)